Jeremiah 2:8

8 aMakuhani hawakuuliza,
‘Yuko wapi Bwana?’
Wale wanaoshughulikia sheria hawakunijua mimi;
viongozi waliasi dhidi yangu.
Manabii walitabiri kwa jina la Baali,
wakifuata sanamu zisizofaa.
Copyright information for SwhNEN